Picha za ajali ya Moto Mbeya wengine walia wengine wacheka kwa kuiba vitu mbalimbali katika eneo la Tukio Friday, September 16, 2011 Inatisha na kusikitisha Vilio vyatanda Kufa kufaana bila aibu watu wajichukulia vitu Zima Moto wakiwa kazini Mbeya nzima yagubikwa na huzuni "Poleni Wanambeya tuko Pamoja"