
Rais alipomtembelea VENGU Hospitali

Vengu kabla ya kuanza kuugua

Vengu akiwa na Kundi zima la ZECOMEDY
Kuna tetesi zinaendelea kuenea Mitaani na kwenye mitandao ya jamii kama facebook na twitter kuanzia mchana siku ya leo kuwa Msanii Mahili wa Kundi la THE COMEDY - VENGU kafariki dunia! na jana tulipata taarifa zisizo rasmi kuwa hali yake si mzuri!
"Wapenzi wa THE COMEDY tunaomba utulivu na maombi katika kipindi hiki kigumu"
